Ajali iliyohusha pikipiki na gari ndogo nyeusi zote hapo pichani. Imetokea mchana wa jana tarehe 8 aprili mkoani Tabora maeneo ya mjini karibu na Las Vegas Pub.
Pikipiki ikiwa chini baada ya kugonga katika ubavu wa gari hilo. Hakuna aliyefariki, majeraha kiasi ya mkono yamemkumba dereva wa pikipiki.
Jeshi la polisi likiwa katika eneo la tukio na kuchukua hatua stahiki