Featured
Loading...

MTU MMOJA AMEUAWA KWA KUPIGWA NA WANANCHI

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE



Askari wa Jeshi la Polisi Kituo Kikubwa Tabora mjini wakiwa wamebeba mwili wa mtu mmoja aliyeuawa kwa kupigwa na wananchi kwa tuhuma za wizi huku mwenzake akiponea chupuchupu.

Maiti ya mtu mmoja aliyeuawa akitambulika kwa jina la LUNJA ambapo wananchi walimshambulia akiwa na mwenzake majira ya saa nne asubuhi


Emmanuel Samwel baada ya kusamilika kifo kufuatia wananchi wenye hasira kuwavamia na kuanza kuwapiga wakiwatuhumu kuwa ni majambazi katika eneo la Kata ya Malolo manispaa ya Tabora

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top