Utaratibu wa mazishi ukiwekwa
DC Mwamoto kulia na DC Warioba wakiwa msibani hapo
DC Mwamoto akiweka sahii kitabu cha maombolezo leo
Spika Makinda akitoa mkono wa pole kwa wafiwa
Spika Makinda kulia akimpa pore waziri Hawa Ghasia
Spika Makinda akiwapa pore wafiwa
Spika wa bunge Anne Makinda akiwa amepiga magoti kuwapa pole wafiwa katika msiba wa aliyekuwa DC wa kalambo Moshi Chang'a leo mjini Iringa
Waombolezaji wakiwa katika msiba huo leo
Spika wa bunge Anne makinda akisaini kitabu cha maombolezo ya DC Chang'a leo
WAZIRI wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Hawa Ghasia akisaini kitabu cha maombolezoo ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Kalambo Moshi Mussa Chang'a leo nyumbani kwake mjini Iringa kabla ya mazishi yaliyofanyika makaburi ya Mtwivila
Spika Anne Makinda akiteta jambo na waziri Hawa Ghasia leo
Mwanahabari Eliasa Ally Chang'a( kulia) ambae ni ndugu na DC Chang'a akiwa na waombolezaji wengine Msafiri Mtandi kushoto na Said kalinga katikati
Mwenyekiti wa CCM Kilolo Sety Mwamoto kulia akiwa na mdau
mfanyabiashara mkubwa Iringa Pilly MOhamed akisainia kitabu cha maombolezo
Mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Christine Ishengoma akisaini kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya kalambo Rukwa marehemu Moshi Chang'a wanaoshuhudia ni mkuu wa wilaya ya Kilolo Gerald Guninita kushoto na mkuu wa wilaya ya Iringa Dr Leticia Warioba katikati ,hapa ni nyumbani kwa marehemu eneo la Kihesa mjini Iringa
RC Mbeya Bw kandoro akiwapa pore wafiwa
Mke wa mkuu wa mkoa wa Mbeya akisaini kitambu cha maombolezo ya Dc Chang'a
Mkuu wa mkoa wa Mbeya akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo
Waombolezaji na ndugu wakiwa katika viwanja vya maombolezo leo
Mwenyekiti wa CCM Iringa mjini Abed Kiponza akitoa salam za chama
Kiponza akiteta jambo na mkuu wa mkoa wa Mbeya Abas Kandoro leo
Mbunge Msigwa akiwa na mwenyekiti wa CCM Iringa mjini Abed Kiponza
Mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa akitoa salama zake na za Chadema pamoja na ubani wa TSh 100,000
Vijana wa CCM wakiweka mambo sawa
Wakuu wa wilaya mbali mbali nchini wakiwa wameubeba mwili wa DC mwenzao Moshi Chang'a leo
Mkuu wa wilaya ya Kibondo Venance Mwamwoto kulia akishirikiana na mkuu wa wilaya ya Mwanza kukunja bendera iliyotumika kufunika mwili wa DC Chang'a
Kada wa CCM Iringa mjini Frederick Mwakalebela akishiriki msiba huo
Wakuu wa wilaya na wananchi Iringa wakiwa wamebeba mwili wa Dc Chang'a mjini Iringa leo
Mwili wa DC Chang'a ukipelekwa msikiti wa Mwanchang'a Kihesa
Waombolezaji wakielekea msikitini leo
Umati wa wananchi wakielekea makaburi ya Mtwivila leo
Msafara wa kutoka nyumbani kwa DC Chang'a kwenda msikitini
msaidizi wa Rais Jakaya Kikwete katika masuala ya siasa Ikulu Rajab Luhwavi kushoto akiwa na mkuu wa wilaya ya Kilolo Gerald Guninita kulia wakati wakielekea kumzika Dc Chang'a leo mjini Iringa .