Featured
Loading...

NAY WA MITEGO ALA UJANA NA WANYAMWEZI USIKU WA PASAKA NDANI YA FLORIDA PUB

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE



Nay wa Mitego a.k.a True Boy, nguli wa mziki hivi sasa hapa Tanzania mwenye miondoko ya HipHop, usiku wa Pasaka alitimiza ndoto ya wengi waliokuwa na hamu ya kumuona akila ujana sawasawa katika himaya ya wanyamwezi mjini Tabora.. Amezidi kudhihirisha umahiri wake kwa vibao vikali kabisa kama "salamu zao" Muziki gani" "Nakula Ujana" ambavyo viliwapagawisha mashabiki waliojitokeza katika show hiyo.













Stone wa Kitaa, wakiwakilisha vyema "The Apex" kundi la muziki la mkoani
Picha zote na aloyson.com #aloysonpix,
Tafadhari: Matumizi sahihi ya umiliki wa picha hizi uzingatiwe popote zitumikapo.

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top