.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
Ajali iliyotokea jana tarehe 30.05.2014 jioni maeneo ya Kiloleni mkoani Tabora, ajali ilihusisha Treni (Gari moshi) na gari ndogo iliyopondeka hapo pichani, ndani ya gari alikuwemo mtu mmoja ambaye vyanzo vinaeleza kuwa dereva wa gari ndogo alikimbizwa hospitali na amevunjika miguu.

Baadhi ya wananchi wakishuhudia yaliyojiri eneo la tukio


Baadhi ya wananchi wakishuhudia yaliyojiri eneo la tukio
