Featured
Loading...

ALICHOANDIKA MONALISA BAADA YA KUFIWA MMEWE "GEORGE TYSON"

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Yvonne Cherryl Lewis a.k.a Mona Lisa
 
Baada ya umauti ya mmewe George Tyson, leo Monalisa katika mtandao wa kijamii wa Instagram alipost picha hii hapo chini na maelezo yenye hisia za kuguswa dhidi ya kifo cha mumewe ambaye walishakuwa na mototo mmoja aitwaye "Sonia"
George, u were my 1st director, then my friend, you became my lover, then hubby, then the father of my 1st born Sonia Akinyi, then you turned out to be my enemy, then back to be mabeste. leo umeniweza. SONIA your angel as you always call her, haamini hadi sasa. nalia kwa nguvu, nalia moyoni, nina maumivu ya ajabu. RIP George Otieno Okumu.

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top