Featured
Loading...

BEHIND THE SCENE: "MZUKA WA MASAI" BY DEEVON -ft- STONE WA KITAA, SirMoe

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


 Ni STAMINA, msanii nguli wa HipHop Sasa kufanya yake Unyamwezini.... Atapiga bonge moja la show katika UZINDUZI WA VIDEO MPYA "MZUKA WA MASAI" ya Deevon (jamaa wa nilipe nisepe ya Belle9) Ni katika ukumbi wa Florida Pub, IJUMAA TAR 16/5/2014 SAA 2 USIKU INAANZA.
Kwa Tsh5000/- Utawashuhudia video Models wakali toka TPSC (CHUO CHA UHAZILI) Na wengine wengi pia washindi wa Miss Tabora 2014.
Usikose mpango mzima ndo huu sasa mwambie na mwenzio.
 
HAPA CHINI NI BEHIND THE SCENE YA VIDEO HIYO ITAKAYOZINDULIWA USIKU WA IJUMAA YA WIKI HII

 

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top