
Leo hii siku ya Alhamis tarehe 15 mei, katika mahojiano na redio ya V.O.T FM 89.0 juu ya uzinduzi wa video mya ya Deevon, ambapo katika burudani maridadi itakayofanyika tarehe 16/05/2014 pale Florida Pub STAMINA atafanya show ya maana kusindikiza uzinduzi huo.
Mtonyo wa show ni Tsh 5000/- tu
(Pichani ni mwanakaka RK na mwanadada Monica, watangazaji wa kituo hicho cha Redio)

Mahojiano yakiendelea,

Kushoto ni Deevon (a.k.a tajiri wa shikamoo, jamaa aliyeigiza video ya nilipe nisepe ya Belle9) na kulia ni Stone the Hood Star wakati wa mahojiano.

Shidaaaaaaaa tuuuu
DJ mkali, a.k.a Dj Kessy Baby. atasababisha katika uzinduzi huo
Picha ya pamoja na watangazaji