BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE
STAMINA, a.k.a Kabwela mwenye kitambi yuko poa baada ya kutua mjini Tabora kwaajili ya show ya uzinduzi wa Video ya "MZUKA WA MASAI" Katika Ukumbi wa Florida Pub.

Satmina (kulia) na Omry J, Muongozaji wa Video inayozinduliwa leo wakiwa Ofisi za Guru Media mjini Tabora.

Stamina akiwa na Aloyson (blogger) na mratibu wa show nzima chini ya Guru Media
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!