Mh. January Makamba (Naibu waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia) akiongea na wanazuoni mkoani Tabora katika kongamano la Rasimu ya katiba na muundo wamuungano wa Tanzania


Mwanachuo akichangia mada
Mwanachuo akichangia
Mb. wa Tabora mjini, Mh. Aden Rage
Mkoosi
Kushoto ni Mh. January Makamba (Naibu waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia) na M/k wa Umoja wa wanavyuo Tabora
Gwakisa Kaswaga, mkurugenzi wa chuo cha TEKU akichangia mada katika kongamano la rasmu ya katiba ya Tanzania na muundo wa muungano wa Tanzania.
Bw. Mukama, Mhadhiri wa chuo cha SAUT-TABORA, akichangia mada.
