
Miss Tabora 2014, Zenna Motte leo akabidhiwa rasmi zawadi kutoka kwa mgeni rasmi Ndg, January Makamba (naibu waziri wa mawasiliano, sayansi na teknolojia) ambaye alitakiwa kuwa mgeni rasmi siku ya shindano la REDDS MISS TABORA 2014 lililofanyika tarehe 03.05.2014.

Ndg, January Makamba akikabidhi zawadi la Laptop mpya kwa mshindi wa shindano la warembo la mjini Tabora.






Mh. January Mkamba (kushoto), Zenna Motte (katikati) na Mh. Mbunge ndg Aden Rage.

Miss Zenna katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali

