Featured
Loading...

Luis Suarez AVUNJA REKODI YA TUZO EPL; Hazard na Gerrard tupa kuleeee.....

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Takribani wiki mbili baada ya kutangazwa kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya England kupitia chama cha wanasoka wanaocheza EPL, mshambuliaji wa kimataifa wa Uruguay Luis Suarez amechaguliwa tena kuwa mwanasoka bora wa England na chama cha waandishi wa habari wa michezo wa Uingereza.

Suarez, 27, aliwashinda kwa kura nyingi wachezaji wengine akiwemo nahodha wa Liverpool na England Steven Gerrard.

Mabao 30 aliyofunga msimu huu kwenye EPL yameiweka Liverpool kwenye nafasi ya kutwaa ubingwa wa Barclays Premier League baada ya miaka 24.


Hii ndio listi ya washindi wa tuzo hiyo tangu mwaka 1990 mpaka leo

1989–90 John Barnes 
1990–91 Gordon Strachan
1991–92 Gary Lineker
1992–93 Chris Waddle
1993–94 Alan Shearer
1994–95 Jurgen Klinsmann
1995–96 Eric Cantona
1996–97 Gianfranco Zola
1997–98 Dennis Bergkamp
1998–99 David Ginola
1999–00 Roy Keane
2000–01 Teddy Sheringham
2001–02 Robert Pires
2002–03 Thierry Henry
2003–04 Thierry Henry
2004–05 Frank Lampard
2005–06 Thierry Henry
2006–07 Cristiano Ronaldo
2007–08 Cristiano Ronaldo
2008–09 Steven Gerrard
2009–10 Wayne Rooney
2010–11 Scott Parker
2011–12 Robin van Persie
2012–13 Gareth Bale

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top