Featured
Loading...

PICHA ZA MAMBA ALIYEUAWA BAADA YA KUTISHIA SANA MAISHA YA WATU JIJINI DAR

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Yule Mamba aliyekuwa akiishi kwenye makazi ya watu Kinondoni Block 41, jijini Dar es Salaam hatimaye jana May 4, 2014 ameuliwa kwa kupigwa na risasi zipatazo nne. Kwa mujibu wa shuhuda aliyekuwepo eneo la tukio alisema kuwa Mamba huyo amekuwa akiishi kwa muda mrefu licha ya 
Wananchi kutoa taarifa kwa mamlaka husika.
"Leo ameuwawa Mamba ambaye alikuwa akitulaza kwa hofu maana alitokea kujichanganya kwenye makazi ya watu ndipo watu walipomshambulia na baadae ilibidi tupate msaada wa jirani yetu ambaye alikuwa na bastola na kufanikiwa kumpiga risasi nne na kumuua. Picha zote na EMMA Mdau wa Kajunason Blog akishirikiana na Erick Mgema.
Mamba akiwa amewekwa juu ya gogo ili wananchi wamwangalie vizuri katika kituo cha Osterbay jijini Dar.
Mamba alikuwa amekomaa kukadiliwa anaumri wa miaka

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top