
Baadhi ya wasafiri wapitao njia ya Morogoro kutokea Dodoma, Mwanza, Shinyanga na kwingineko wakipita hapo walikumbana na adha ya mti uliodondokea barabarani umbali wa kilometa 100 nje ya mkoa wa Morogoro, msururu mkubwa wa magari ulirundikana hapo. Kwa ushirikiano wa wanakijiji na wasafiri iliwachukua kama nusu saa tu kuuondoa mti na safari kuendelea

[picha na Mkala]