Featured
Loading...

MSIBA MWINGINE TANZANIA. R.I.P GEORGE TYSON

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


R.I.P

Marehemu, George wakati wa uhai wake.

"Marehemu Geogre Tyson pichani  alikuwa yupo kijiji cha Chilonwa Chamwino Dodoma, kwenye utoaji wa madawati katika shule ya msingi Chaula iliyopo Dodoma. Baada ya kumaliza shughuli hii huku akiwa kama producer wa The Mboni Show mauti yalimkuta majira ya saa 12 jioni masaa 4 tu toka ianze safari ya kurudi Dar es Salaam maeneo fulani hivi kama unataka kukaribia GAIRO mjini. Katika gari hilo walikuwa watu 8 ila yeye pekee ndio aliyepoteza maisha na wengine kupata majeraha mwilini pamoja na dereva wa gari hilo. Kwa sasa mwili wa marehemu umehifadhiwa hapa Morogoro katika  hospital ya mkoa Morogoro, baadae asubuhi mwili utaanza safari ya kurudi Dar es Salaam." Msiba upo nyumbani kwa marehemu Bahari Beach. Taarifa zaidi itawajia

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top