Kumbuka sasa yule producer mahiri mwenye vipaji vingi 'BAUCHA' ambaye hivi sasa anatamba kwa kibao cha KELELEKELELE chenye radha zisizopingika sasa ni wakati mwingine wako msikilizaji na unayependa kazi nzuri za wasanii wa Kitanzania kusubiri kwa hamu kibao kitakachokwenda kwa jina la "CHAMPODODO"
Ambapo mtandao huu utakuwa wa kwanza kukuletea. Kaa chonjo CHAMPODODO linakuja.
Loading...
"CHAMPODODO" "CHAMPODODO" "CHAMPODODO" New Hit Song By Baucha.
Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
MAPENZI MATAMU BLOG