Kwa burudani hapa ndo penyewe, utapata kushiba vina makini vitakavyokupa burudani na kukuelimisha kutoka kwa msanii huyu wa hiphop mwenye umahiri wake kikazi ya muziki sasa baada ya miezi takribani 7 alikuwa kimya bila kutoa kibao chochote na sasa ukimya wake utadhihirika tar 22/05/2014 atakapoachia mzigo mpya uitwao "MGUU PANDE MGUU SAWA" ya STAMINA Kabwela mwenye kitambi akimshirikisha Walter Chilambo na huku ikiwa imepikwa na Pro. Tiddy Hotter.
Kaa hapo hapo kwa mtandao huu utakapoupata wimbo huo.
Haya mguu pande..... Mguu sawaaaa....
Kaa hapo hapo kwa mtandao huu utakapoupata wimbo huo.
Haya mguu pande..... Mguu sawaaaa....
