
Onesha Upendo wako Ainuke kidedea kwa ushindi wa tuzo za AFRIMMA zitakazofanyika 26/07/2014 huko Marekani. Sheddy ameingia kama producer bora wa mwaka akishindanishwa na ma-producer wakubwa kama Don Jazzy(Nigeria) Shizzi (Nigeria) Killbeatz (Ghana) Dj Oskido (South Africa) Nash Wonder (Uganda) Ogopa(Kenya).
Sasa kumfanya Sheddy ashinde mpigie kura kwa kubofya HAPA
AU

Let us go Tanzania... Its our time.