Featured
Loading...

REKODI YA USHINDI WA KIPAJI CHA REDDS MISS TABORA 2014 "ZENNA" YAJIRUDIA DODOMA

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Hivi ndivyo Miss Zenna Mote alivyowatengua mbavu kwa kipaji chake na kuchukua zawadi ya ushindi wa kipaji hicho katika mashindano ya urembo ya REDDS MISS TANZANIA 2014 Ikiwa ni katika ngazi ya kanda, kanda ya kati yaliyofanyika Dodoma tarehe 20/6/2014. Hapo tu haitoshi, mrembo huyu pia alinyakua taji la ushindi wa pili katika mashindano hayo ya kanda, na kwa bahati nzuri pia kupitia mashindano ya mkoa mrembo huyo alifanikiwa kunyakua mataji mawili likiwemo la kipaji na ushindi wa mrembo wa mkoa wa Tabora. Hadi sasa amefuzu kuingia katika kambi ya Miss Tanzania.
KUONA ALIVYOFANYA TABORA BOFYA HAPA
Alivyowaacha watu hoi....
Acha kabisaaaa
Weweeeee... ni shidaaaa....
Miss Zenna akionge jambo.

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top