
Watu wasio na maadili (hawa bilashaka ni wenye malezi mabaya) leo hii kwenye mtandao wa INSTAGRAM waliweka picha ya mama yake Wema Sepetu (Iliyotengenezwa/ edited) na kuanza kumshushia maneno yasio na ADABU... kiufupi hawa ni watu ambao mara nyingi wamekuwa wakimshushia matusi Wema Sepetu kwenye mitandao ya kijamii... Sasa leo bila kufikiri wameenda mbali zaidi na kumuhusisha mama yake kwenye mambo yao....
Wema Sepetu kupitia huko huko INSTAGRAM ameelza kusikitishwa kwake kwa mama yake kuingizwa kwenye ma BIFU yasio na maana..... kiufupi ameelezea kuumia sana leo hii ukizingatia kwasasa amebaki na mama pekee bila baba. SOMA ZAIDI;
"Dah...! Sijui hata niseme nini...! Ila si mlitaka kuniumiza... leo mmefanikiwa... nawapeni hongera.... Tena mmetisha haswa... Kila sjku huwa hata siumizwi na matusi yenu cuz naonaga kama ni mnajisumbua tu... Hakuna siku nimelia kwa uchungu kama leo... I min mnitukane mimi mpaka mchoke but leave my mum out of it... Kawakosea nini nyinyi mama angu mpaka mfanye hivyo... Mzazi nwenyewe ndo nimebakia nae mmoja tu... mnataka afe na yeye nibaki yatima sio... dah... leo mmeniweza... saana jamani... Basi naomba isifike huko... nina uchungu sana na mama angu ... nampenda sana mama angu ila naona mnataka kuniulia mama angu... Picha halisi ndo hio hapo juu kweli mtu uende ukamfanyie hivyo mama wa mwenzako... una mama wewe.. au uliokotwa na hujui uchungu wa mama... dah... nime surrender leo.... hongera zenu narudia tena... mmeniweza leo.... dah... Mungu nipe nguvu ktk hili jamani... Kwani nilichokikosea haswa ni kitu gani mpaka iwe hivi . Nimekosa nini mimi yarabi toba.... Eeeh mungu... Dah... Ila nashkuru...."
BAADHI YA MAONI YA WADAU
merinamartin
My dear achana nao watu ni washenzi sana wa tabia achana nao utaumia sana roho yako wamekutenda sana ila mwachie mungu ndo muweza wa yote
marymasinda
Mmh poleni sana familia ya Sepetu.ila najiuliza why mumfanyie hivyo mama wa mwenzenu nini kosa lake mpaka mumdhalilishe?aliewashinda bahati ni wema si mamaake jamani.na hamuwezi mzibia Wema coz kishapewa na mungu.
kismat007
kismat007
Hawana la kufanya ndo maana wanatukana mama za watu...walishalaaniwa tangia utoto ss laana zinawafanya vibaya ndo maana...ila mshukuru mungu kwa kila jambo..
misslustonDearie They can't break u now...your strong that's what I see in u let it pass booboo....we all know u av a perfect mama in da world.
priyatanya
misslustonDearie They can't break u now...your strong that's what I see in u let it pass booboo....we all know u av a perfect mama in da world.
priyatanya
Do something. .dont stay idol....kila kitu kina mipaka.i cud kill foe ma mommm....do somtging about them...press charg against themmm.huo ni uzalikishajiiij....
luganojames
luganojames
Daah hao watu hawana mama aisee...cz they will know wat it filz and means to respect and lv them unconditionally
babycndy
babycndy
yec madame afanye kitu juu ya hili kukaa kimya ndo sababu ya wao kuendelea kumfanyia stupidity za hali ya juu!! roho imeniuma mno pole madame #wemasepetu
ruqssy
ruqssy
Ur a Muslim girl pray rakaa 2,leav it to Allah evrything will be ok i love dia soo much @wemasepetu
flawaizzy@wemasepetu pole lv sis
zheylicious
Unajua inaumiza ni mara 10 unitukane mimi weeee ila sio mama alie nizaa kwa uchungu kwan hausiki kwa lolote kwa nn umuingize??yotr kheri pia samehe tuu na usifanye moyo wako ujae uchungu
priyatanya
flawaizzy@wemasepetu pole lv sis
zheylicious
Unajua inaumiza ni mara 10 unitukane mimi weeee ila sio mama alie nizaa kwa uchungu kwan hausiki kwa lolote kwa nn umuingize??yotr kheri pia samehe tuu na usifanye moyo wako ujae uchungu
priyatanya
Gat yu. I thought anawajua hao watu. But anyway pole wema mwaya
Pole sana mpenzi me niliona toka jana. Niliumia saaaana Mpaka nikamuomba afute picha nikamwambia anachofanya sivyo.. Nibora Mara mia aendelee kukutukana ww kuliko mzazi jamani mama wa mwenzio pia ni mamayako. Hii its too much n childish dah I am speechless kwakweli imeniuma saana n I know ww ndo itakuwa imekuuma zaidi.
haulat71
haulat71
Wamezaliwa polini hawana thaman na mama zao.pole






