Wanafunzi wa Kozi ya BASO wakusanyika pamoja na kupongezana kwaajili ya kuagana mara baada ya kufanya mitihani yao ya mwisho ya kujipatia nondo yao ya kwanza (Degree ya kwanza 2014) katika chuo kikuu kishiriki cha Mt. Agustino cha Tabora - SAUT (AMUCTA).
Hapana chezea wao full ng'aring'ari
(Kutoka Kushoto) Eddie (Ngwasuma), Fredy, na Mwela
Rachel, Zenobia na Fredy, burudani ikiendelea
Ma Dancers wakifanya yao.
Kundi jingine la Dancers lenyewe lawakosha wahitimu kizombizombi
Watakumbukana sana kwa umoja wao
Champagne hiyoooo
Jamii nzima itawakumbuka kwa michango yao chanya katika jamii waliyokuwanayo chuoni hapo.
Maisha mema.
Picha zote na aloyson.com

.png&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)






























