Featured
Loading...

MAJAMBAZI YASHAMBULIA BASI LA WAFUNGWA LA MAGEREZA NA WATOKOMEA KUSIKO JULIKANA

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Picha juu na chini ni tukio lililotokea muda si mrefu maeneo ya TMJ Hospital Majambzi yalikuwa yakikimbia kwa mguu yakitokea msasani kwa Nyerere walilishambulia basi la wafungwa la Magereza lililokuwa likisindikizwa na gari lingine nyuma lililokuwa na askari magereza. Shambulio hilo limewajeruhi wafungwa na baadhi ya asakari hao wa Magereza, hakuna mtu aliyekufa na majambazi yametokomea kusikojulikana. Mahabusu wanashangilia hapa na shughuli zote zimesimama hapa
kwa picha zaidi bofya soma zaidi


Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top