Featured
Loading...

BASI LA HOOD LAPATA AJALI MBAYA LEO LIKITOKEA MBEYA

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Muda mchache baada ajali kutokea 
Askari wa usalama wa barabarani wakiwa wamefika eneo la tukio na baadhi ya Mashuhuda wakishuhudia ajali hiyo
Basi la Hood limepata ajali asubuhi hii (Tar 26/7/2014) likitoka Mbeya haijafahamika mara moja lilikuwa linaelekea wapi na haijafahamika kama kuna watu waliojeruhiwa, endelea kufutilia hapa kupata taarifa kamili hii ni taarifa ya awali.

Picha na Mbeya yetu Blog

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top