Featured
Loading...

Mawe Mwanza Yaporomoka na kuua Wanne

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Na Millard Ayo
Ni wiki moja tu imepita baada ya kuondoka Mwanza nilikokwenda kwa ajili ya Tour ya Fiesta inayoendelea kwenye mikoa mbalimbali Tanzania ambapo mara zote ambazo nimekua nikiitembelea Mwanza, kila nikitazama watu walivyojenga pembeni au karibu ya mawe makubwa milimani huwa maswali hayaniishi.

Mara zote ninapoitembelea Mwanza Kwenye kumbukumbu zangu sikumbuki kama niliwahi kusikia kuporomoka kwa haya mawe lakini kama Bindamu niliwahi kuwa na hofu hiyo.

Natoa pole sana kwa ndugu waliopoteza ndugu zao wanne baada ya mvua kunyesha kisha nyumba zao kuporomokewa na haya mawe makubwa maeneo ya Mabatini Sinai mtaa wa Nyerere A.

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top