
Chid Benzi rapa mkali na mkali wa kuchana nchini Tanzania, baada ya ukimya wa kina sasa amekuja na kushusha bonge la single "MPAKA KUCHEE" aliyomshirikisha Diamond na AY sasa unaweza isikia na kuipata popote. Humu ndani wametisha sana
Ngoma imefanywa katika studio za Dullysykes na kupitia mikono ya Tudd Thomas na Emma The Boy.
Kwa kudownload bofya HAPA au hapo chini






