Featured
Loading...

Ni Sheedah...! Timu ya Serengeti Fiesta 2014 Ikisambaza Upendo Ndani ya Tabora

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Team Sheedah..! Serengeti Fiesta, wazee wa kusambaza Upendo wakiwa live katika mitaa ya Jumhuri karibu na NMB Bank wakiongea na wadau Unyamwezini.
Kilele cha show nzima itakuwa hapo ni tarehe 14 septemba siku ya jumapili ndani ya uwanja wa Al'Hassan Mwinyi kwa mtonyo wa buku tano tu (Kiingilio ni sh 5,000)
Gari la promosheni likiwa mitaani kusambaza upendo
Mussa wa clouds Media akiwa live redioni huku akihojiana na Wanatabora
Mussa akiongea na moja wa dereva baiskeli huku wakikidhi maelezo yao basi wanadondoshewa mtonyo wa tiketi na T-shirt ili kushuhudia kilele cha burudani hiyo siku ya jumapili ndani ya uwanja wa Al'Hassani Mwinyi-Tabora
Daladala ya baiskeli iliyoandikwa "HAKUNAGA" Ni upendo wa kweli.

Sheedah kweli kweli leo katika viwanja vya Las Vegas Pub, wazee wa sheedah watakuwepo hapo usiku wa leo, usikose.
Aloyson (Kusoto) mwandishi wa mtandao huu aloyson.com na Mussa tukizungumzia sheedah ya town kwa sasa.

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top