Featured
Loading...

JAMAA AJITOKEZA KWA WAZEE WA SHEEDAH KUDAI T-SHIRT MPYA BAADA YA ILE YA ZAMANI KUFUBAA

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE



Ukisikia sheedah basi ndio hapo sasa, jamaa kajitokeza kunyakua T-shirt mpya baada ya ile ya Serengeti Fiesta 2013 kufubaa.
Jamaa akiongea yake ya moyoni juu ya mapenzi aliyonayo na Fiesta
Bila kwere alipewa T-Shirt jipyaaa la Sheedah..!
Tshirt haikutosha, jamaa alipewa sheedah nyingine ya kinywaji cha SERENGETI PLATINUM 3 toka kwa Bonge.
Sheedah...!
Bonge wa Clouds Fm akiongea na wadada. Ni upendo tu wa FIESTA 2014.

Kumbuka kilele cha sheedah hii yote ya SERENGETI FIESTA 2014 "SAMBAZA UPENDO" ni hapo tarehe 14/09/2014 Jumapili katika kiwanja cha Al'Hassan Mwinyi kwa mtonyo wa shilingi za Kitanzania ELFU TANO tu (5,000/ tu)

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top