Featured
Loading...

Kwa Wale Wanafunzi waliotaka kujiunga na vyuo vikuu Tanzania

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Kwa ufupi ni kwamba Tume ya vyuo vikuu imetangaza kwamba Wanafunzi wapatao elfu 12 wanaotaka kujiunga na elimu ya vyuo vikuu Tanzania wamekosa nafasi za kujiunga na vyuo hivyo kwa sababu ya walichagua sehemu zenye ushindani mkubwa na wamekosa nafasi sababu alama zao zilikua ndogo.

Mengine yote unaweza kuyasikiliza kwa kubonyeza PLAY hapa chini….

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top