
Stage ikiendelea kufungwa tayari kwa shughuli nzima ya leo katika tamasha kubwa la SERENGETI FIESTA 2014 LA KUSAMBAZA UPENDO.
Kuwa mmoja wa watakaojumuika katika tamasha hilo la kihistoria ikiwa ni mwaka wa tatu mfululizo kufanyika hapa Tabora.
Ni kwa kiingilio cha shilingi 5,000/- tu za Kitanzania. Tamasha hilo linafanyika leo hii jumapili tarehe 14 septemba katika kiwanja cha Ally Hassan Mwinyi kuanzia saa 12:00 jioni na kuendelea.




Gari la Clouds Tv ikiwa imewasili mapema leo asubuhi.






Endelea kufuatilia mtandao huu utatoa taarifa zote za tukio zima na tutakuwepo eneo ta tukio mwanzo hadi mwisho.