Fiesta pre-party ndani ya club 101 ya hapo Tabora huku ikiwa ndio mkesha wa kuipokea SERENGETI FIESTA 2014 SAMBAZA UPENDO. Ni show kubwa itakayopigwa katika uwanja wa Al'Hassan Mwinyi kwa kiingilio cha sh 5,000/- tu kuanzia saa 12 Jioni na kuendelea

Muli B akiwa katika mashine akidondosha vitu vikali vya kusambazia upendo










Nussa ndani ya club 101

Mbwiga wa Mbwiguke ndani ya club 101 akiwasalimu wana wa Tabora

Bonge katikati akiwasalimu wana Tabora usiku huu.