
John Rodgers amesema:
"Kwa mara nyingine JOHN RODGERS FT SHILAH naachia ngoma nyingine na ngoma hii inaitwa YOU MAKE MY HEART SING ambayo nimerecordia AM RECORD CHINI YA MANEKE . Na kwa wale wanao amin juu yangu na sitokaa niwaangushe kabisa. LOVE YOU ALL NA BILA NYIE NISINGEKUA HAPA . Enjoy the song na naombeni saport yenu watu wangu"
UPAKUE WIMBO HAPO CHINI