Featured
Loading...

[PICHA 90] TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2014 TABORA [AL'HASSAN MWINYI]

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Tamasha maarufu la Serengeti Fiesta 2014 sambaza upendo limefanikiwa kuweka historia yake katika mkoa wa Tabora usiku wa tarehe 14 septemba 2014, Watu wengi walijitokeza kwaajili ya burudani ya kukidhi kiu yao ya muda mrefu ya kuwaona zaidi ya wasanii 40 wa ndani na nje ya mkoa ambapo tambasha hilo lilifanyika katika uwanja wa Al'Hassan mwinyi.

Chege
Chege na Temba
Nay wa Mitego
Shilole
Shilole kushoto na Nuhu Mziwanda kulia akitambulishwa kama shemeji
Nuhu Mziwanda
Ommy Dimpoz
Recho
Young Killer
Linnah
Kadja na Linnah
Dj Fety wa Clouds Fm kipindi cha XXL
Dj Zero akifanya yake
mwanga wa simu ili kuwaenzi waliotutoka duniani
Nickson, mtangazaji wa Clouds Tv
 
 Dudubaya kwa suprise akatoke kwa stage na kuburudisha kidogo
 Mr Blue

Niki wa Pili
One love
Mkali wa HipHop Fid Q
Mo Music
Kadja
sehemu ya umati wa watu waliojitokeza katika tamasha la Serengeti Fiesta 2014
Baraka Prince
Sheeeedaaah tuuuu
Ama The Maker
Baibe Lizy
Baibe lizy
Dancer wa Baibe Lizy
SirMoe, Ni msanii wa mkoani lakini waweza muita staa ambaye hajaonekana... Kibao chake kiliombwa kurudiwa jukwaani kinaitwa Top Level
Stone wa Kitaa
Mashahili
Chally Ade King
Mabokela
DJ Muli B
Malick
RG Mr Government 
Mnyika

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top