Q Girl, ashinda shindano la mkoa lililofanyika katika Club 101, shindano hilo linalowahusisha wasichana wenye vipaji vya kuimba ili kumpata diva atakaye uwakilisha mkoa. Walichuana wasichana saba, kisha washindi katika mikoa yote watachuana katika shindano litakalofanyika jijini Dar na mshindi atafanya kolabo na Diamond Platinum.
Q Girl akifanya yake
Baada ya Q Girl kusomwa mshindi, Dj Fetty ampongeza.
Majaji wa shindano hilo wakipiga picha ya pamoja na mshindi. (Kushoto ni G Kifaa, Q Girl, Mac Zube, na Dj Fetty)
Q Girl akipewa utaratibu kamili namna ya kufika Dar kwenye kilele.
Linet na Q Girl baada ya kuingia fainali
Fetty akiongea na washiriki
G Kifaa (Producer wa Halisi Record ya Dar) akiongea na washindani
Baadhi ya waliojitokeza kushuhudia mashindano hayo ndani ya Club 101
Washiriki wa shindano
Baibe lizy (Mshiriki)

Sadah (Mshiriki)
Baby Aisa

Q Girl Mshindi wa Fiesta Super Nyota Diva