Featured
Loading...

Breaking News; Soko la Urambo Laungua Usiku wa Kuamkia Leo

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


aloyson.com
Moto wateketeza soko la wilaya ya Urambo huko mkoani Tabora usiku wa kuamkia leo hii Jumatatu ya tarehe 13/10/2014.
Inasemekana kuwa chanzo cha moto huo ni mabaki ya moto katika moja ya banda la mama ntilie ambaye hufanya biashara zake katika soko hilo.

Asilimia kubwa ya mabanda madogo madogo ya ndani yameteketea na vitu vichache walifanikiwa kuviokoa.
aloyson.com


Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top