Featured
Loading...

AJALI YA KUSIKITISHA; GARI NDOGO YAINGIA UVUNGUNI MWA HAPPY NATION HUKO HEDARU

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Pichani juu ni baadhi ya Watu wakitazama ajali iliyotokea maeneo ya Hedaru Wilayani Same mkoani Kilimanjaro Jumapili jioni ya tarehe 12/10/2014, ambapo ajali hiyo ilihusisha gari ndogo yenye namba za usajili T653 BZR kuingia chini ya uvungu wa basi la abairia lijulikanalo kwa jina la Happy Nation, kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari kilieleza kuwa abiria wote waliokuwemo ndani ya gari ndogo (ambao idadi yao haikujulikana) walipoteza maisha papo hapo. Aidha bado haikufahamika mapema chanzo cha ajali hiyo ni nini.
Mmojawapo aliyetambulika kwa jina la Dennis (Enzi za Uhai wake) inasemekana alikuwemo katika gari ndogo na alipoteza maisha palepale.

MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU PAHALA PEMA PEPONI.

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top