Sherehe ya mahafali ya pili katika Chuo Kikuu Kishiriki cha SAUT cha Tabora (AMUCTA)
Katika Mahafali hii kulikuwa na wahitimu wa Masters, Degree na Certificate katika kozi mbalimbali zinazotolewa na chuo cha AMUCTA. Ambapo waziri Lazaro Nyalandu alikuwa mgeni rasmi wa shughuli hiyo.
Kwa mbali maandamano yakianza kuelekea eneo la Tukio
Waalikwa mbalimbali wakishuhudia mahafari