Featured
Loading...

BINTI AKUTWA HAJITAMBUI KICHOCHORONI

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Huyu ni msichana ambaye alikutwa katika uchochoro wa club za bar usiku kati ya galax mjini Kahama mkoani Shinyanga majira ya asubuhi saa 12 akiwa hajitambui 
Baadhi ya wananchi wakijaribu kumuangalia binti huyo akiwa hana fahamu huku akiwa katika kichochoro huku nguo zake zikiwa zimechanwa na watu wasiofamika mjini kahama. 
Askari polisi wa kituo cha polis kahama thomas munyongo akijaribu kumtambua msichana huyo na bila mafanikio na kuomba msaada katika kituo cha polisi .
Baadhi ya watu wakijaribu kumtambua msichana huyo .
Baadhi ya wanachi wakimchukua binti huyo kwenda kwenye gari ya polisi na kupelekwa hospital ya wilaya ya kahama .
Msichana akiwa hospital ya wilaya kahama daktali akijaribu kumkagua kama yuko hai .
Hivi ndivyo msichana alipochukuliwa kupelekwa hospital ya wilaya kahama kwa uchunguzi zaidi
Baadhi ya askari polisi wamtoa msichana ndani ya gari ya polisi baada ya kumfikisha hospital ya wilaya kahama 
.
Hivi karibuni mkuu wa wilaya ya kahama Benson Mpesya alipinga marufuku biashara ya ngono katika wilaya yake. kutokana wasichana wengi kufanya biashara hiyo haramu .
Aidha wilaya kahama imekuwa ni sehemu kubwa kwa wasichana kuingia katika biashara ya ukahaba jambo ambalo linafanya wasichana wengi kubakwa na kutupwa katika mitalo ya maji au manyumba yasio kwisha .

Picha kwa hisani ya Mohab Mtukio

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top