Mkuu wa wilaya ya Siha Mhe.Novatus Makunga (kushoto) akimshukuru Meneja wa NMB Tawil la Nelson Mandela Emmanuel Bushiri baada ya uzinduzi rasmi wa Siku ya Mwalimu a Kilimanjaro. Hafla hii ambayo ilikusudia kuwakutanisha moja ya wadau wakubwa wa NMB na kuwaelezea juu ya huduma mbali mbali ambazo NMB wamezianzisha kwa
ajili yao imefanyika mwishoni mwa wiki hapa Mkoani
Kilimanjaro.Katikati ni Meneja wa NMB Kanda ya Kaskazini Bi.Vicky
Bishubo (kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Huduma za kibenki kwa wateja
binafsi Bw. Abdulmajid Nsekela