Featured
Loading...

Jerry Silaa Kumsomesha Binti Aliyepangua Nondo Kiufanisi

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Doreen Kabuche
“Mwaka 2011 Doreen Kabuche alimaliza Kidato cha sita Benjamin Mkapa na kuwa best female student. Tulimwita na nikamzawadia laptop ya 1,500,000 Mwaka huu amekuwa best student UDSM kwa kupata GPA 4.8 kwenye shahada adimu ya takwimu bima. Nataka tumsomeshe Masters ili kupata wataalam wataoangalia mifuko yetu ya pension Tuache kulalamikia utendaji mbovu wakati hatusomeshi wataalam” , ni maneno ya Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa alipokuwa akizungumza mbele ya waandishi wa habari wakati wa kumpongeza mwanafunzi Doreen Kabuche aliyemtembelea ofisini kwake leo.
Jerry Silaa



Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top