Featured
Loading...

MAMIA WAJITOKEZA MAZISHI YA MWENDESHA BODABODA,WALAANI VIKALI MAUAJI HAYO-TABORA

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Baadhi ya waendesha Bodaboda Tabora mjini wakishiriki Mazishi ya Mwenzao Deogratius Elmenglid aliyeuawa kikatili katika tukio lililotokea hivi karibuni la Uporaji pikipiki eneo la Kata ya Malolo,Mazishi hayo yamefanyika Makaburi ya Ipuli Manispaa ya Tabora


CHANZO: KapipiJHabari

Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top