Featured
Loading...

ONA CHANJO YA MATENDE , MABUSHA NA MINYOO YALETA MADHARA NJOMBE

BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE


Mkazi wa mkoani Njombe aliyetajwa kwa jina la mama Selemani Mbaga yu hoi baada ya kupata chanjo ya matende ,mabusha na minyoo iliyoanza tarehe 18/10/2014 , mwanamke huyo amepata madhara makubwa mwili wake wote huku katika maeneo ya makalio akiwa ameharibika vibaya kiasi cha kushindwa kukaa picha zake zinatisha sana na kimaadili tumeshindwa kuziweka hapa.


Ungana nami Sasa Upate Habari Moto Moto za Moja kwa moja Kwako
Bofya HAPA SASA U Like PAGE!

Share na Marafiki Post HiiPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!
© Copyright Mahaba Live
Back To Top