BOFYA VIDEO HAPO CHINI UONE MAMBO LIVE
 |
Bw, Paul baada ya kuwasili ukumbini. |
Ni katika sherehe fupi ya kumuaga na kumpongeza Bwana Paul aliyekuwa meneja wa TRA-Tabora, sherehe hizi zinafanyika katika ukumbi wa TPSC - Tabora (UHAZILI)
Wageni waalikwa wa Bw. Paul
Mmoja wa wanakamati ndogo ya Chakula akisema jambo
Zawadi mbalimbali zikikabidhiwa kwa Pual akiwa na mkewe
Kamati kuu ya sherehe hii maalumu ya kumuaga Bw. Paul baada ya kustaafu
Wadau wakubwa na waalikwa wakifuatilia matukio ukumbini
Kijana wa Dance Machine akitoa burudani ukumbini

Wafanyakazi wa NBC wakifuatilia matukio katika sherehe hiyo ya kumuaga Paul meneja mstaafu wa TRA Tabora
Brigedia Kamanda mkoa wa Tabora akifuatilia kwa umakini tukio zima la sherehe ya kumuaga na kumpongeza Bw. Paul.
Pau na wageni waalikwa wakinywa Champagne
Shairi maalum lililoandaliwa kutoka TRA
Waalikwa na wafuatiliaji wa tukio hilo
Ndafu ikisogenzwa ukumbini
Ndafu
Paul na mkewe wakionja ndafu iliyoandaliwa na kamati

Bw. Laurent Mchele akilishwa keki namke wa Paul.
Wageni waalikwa katika sherehe ya kumuaga na kumpongeza Bw. Laurent W Paul kwa kustaafu kazi ya utumishi wa umma akiwa kama meneja wa TRA-Tabora
Karibu tena
Get Free Email Updates to your Inbox!