Meneja mstaafu wa TRA-Tabora, Bwana Paul akiendesha ringi la baiskeli kuashiria kuzaliwa kwake upya ilipofika saa sita usiku wa tarehe 11 mwezi huu wa kwanza katika ukumbi wa TPSC - Tabora (UHAZILI). Msataafu huyu alisherehekea siku yake ya kuzaliwa iliyoambatana na sherehe maalum ya pongezi na kumuaaga baada ya kumaliza muda wake wa kuitumikia serekali kwa miaka mingi.
David (Kushoto) akimwelekeza Paul (Kulia) namna ya kucheza kama mtoto katika kuimaanisha siku ya kuzaliwa ya mtoto huyo pichani
Mtoto Paul akidundisha mpira.
Mtoto Paul akichezea helicopter
Kama kawaida watoto hupenda magari, mtoto Paul aliletewa tipa la kubebea mchanga.
Watoto wa mzee Paul wakitizama baba mtoto akifanya yake.

Mtoto Paul (Meneja mstaafu) akiwalisha keki baadhi ya ndugu zake.
Bw. Paul na Frado wakiteta jambo
MC na ufunguzi mashuhuri wa Champagne
Wadau na waalikwa wa sherehe hiyo.
Baadhi ya wanakamati na waalikwa.
Matukio yote na aloson.com