Mkuu
wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa
(katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa
uzinduzi wa Promosheni mpya inayojulikana kama JayMillions
itakayowawezesha wateja wa kampuni hiyo kujishindia zawadi mbalimbali
zenye thamani ya Shilingi Bilioni 30/- Ili kujua kama umeshinda mteja
anatakiwa kutuma SMS moja tu yenye neno “JAY” kwenda namba 15544 kila
siku.Kushoto ni Balozi wa promosheni hiyo Hilary Daud ”Zembwela” na
kulia ni Meneja Uhusiano wa Umma wa kampuni hiyo Matina Nkurlu.
Balozi
wa promosheni ya JayMilions Hilary Daud ”Zembwela” (kushoto) akionesha
bango linaloelezea jinsi ya mteja kujua kama ameshinda katika Promosheni
hiyo iliyozinduliwa na Vodacom Tanzania leo itakayowawezesha wateja wa
kampuni hiyo kujishindia zawadi mbalimbali zenye thamani ya Shilingi
Bilioni 30/- Ili kujua kama umeshinda mteja anatakiwa kutuma SMS moja tu
kila siku yenye neno “JAY” kwenda namba 15544.Wengine kutoka kulia
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu na Mkuu wa
Idara ya Masoko na Mawasiliano wa kampuni hiyo Kelvin Twissa.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania na waandishi wa habari waliohudhuria uzinduzi huo.
Mkuu
wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Kelvin Twissa
(katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani)
wakati wa uzinduzi wa Promosheni mpya inayojulikana kama JayMillions
itakayowawezesha wateja wa kampuni hiyo kujishindia zawadi mbalimbali
zenye thamani ya Shilingi Bilioni 30/- Ili kujua kama umeshinda mteja
anatakiwa kutuma SMS moja tu yenye neno “JAY” kwenda namba 15544 kila
siku.Kushoto ni Balozi wa promosheni hiyo Hilary Daud ”Zembwela” na
kulia ni Meneja Uhusiano wa Umma wa kampuni hiyo Matina Nkurlu.
Mkuu
wa Kitengo cha huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania, Saurabh Jaiswal
(kushoto) akimsikiliza Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa kampuni
hiyo,Kelvin Twissa(katikati)akifafanua
jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa
Promosheni mpya inayojulikana kama JayMillions itakayowawezesha wateja
wa kampuni hiyo kujishindia zawadi mbalimbali zenye thamani ya Shilingi
Bilioni 30/- Ili kujua kama umeshinda mteja anatakiwa kutuma SMS moja tu
yenye neno “JAY” kwenda namba 15544 kila siku.Katikati ni Balozi wa
promosheni hiyo Hilary Daud ”Zembwela” na kulia ni Meneja Uhusiano wa
Umma wa kampuni hiyo Matina Nkurlu.
TShs 300m/= kushindaniwa kila siku!
Vodacom imezindua promosheni kubwa kuliko zote katika historia ya michezo ya bahati nasibu nchini Tanzania ambapo wateja watajishindia pesa taslimu Sh. bilioni 30/= katika zawadi ndani ya kipindi cha siku 100.
Akizungumza na waandishi wa habari jjijini leo ,Mtendaji Mkuu wa Vodacom Tanzania Rene Meza amesema promosheni hii inajulikana kama JayMillions na inawahusisha wateja wote wa Vodacom na ni ya kwanza ya aina yake kwani, “kiasi kikubwa cha fedha kitatolewa kila siku na ni rahisi kabisa kila mtu kushiriki.”
Vodacom itatoa mshindi mmoja wa Sh. 100m/=, washindi kumi wa Sh. 10m/= na washindi mia moja wa Sh. 1m/= KILA SIKU kwa siku mia moja! Pia washindi elfu kumi watapokea muda wa maongezi wa bure wenye thamani ya Sh. 1000/= kila siku. SOMA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA