
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma inawashikilia wanafunzi kadhaa wa chuo Kikuu UDOM kwa tuhuma za kuhamasisha uvunjifu wa amani Chuoni na kufanya maandamano haramu kutoka Chuoni kuelekea katika Ofisi mbalimbali za viongozi wa Serikali zilizopo Dodoma kutokana na vurugu hizo zilisababisha baadhi ya wanafunzi kupata majeraha mbali mbali kutokana na kukwepa vyombo vya dola na kukimbia hovyo hovyo na kupelekea kijana huyo pichani (Jina lake halikupatikana mara moja) kuvunjika mguu!
KUTOKANA NA KUTISHA KWA PICHA HIZI ZIMEFICHWA ILI KUWEKA TAHADHARI,
KUZIONA BOFYA HAPO CHINI
PICHA YA KWANZA BOFYA HAPA
PICHA YA PILI BOFYA HAPA
KUTOKANA NA KUTISHA KWA PICHA HIZI ZIMEFICHWA ILI KUWEKA TAHADHARI,
KUZIONA BOFYA HAPO CHINI
PICHA YA KWANZA BOFYA HAPA
PICHA YA PILI BOFYA HAPA






