
Siku ya Jumatatu 12.1.2015 Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha, Catherine Magige alizindua rasmi duka la urembo la ZuRii House of Beauty linalomilikiwa na mwana Diaspora ambaye pia ni mwanalibeneke Jestina George Meru ndani ya jengo la Dar Free Market jijini Dar es Salaam jana.
Kukata kujuwa zaidi angalia video hapo chini.